Freeman Mbowe afika KCMC kumjulia hali Katibu wa Chadema aliyevunjwa miguu na mikono na wasiojulikana

Mbona CCM hamuachi siasa?
 
Siku iko njiani inakuja mawakala wa hao wasiojulikana wataanza kunyooshwa wakae wakijua hii nchi siyo ya mtu wala ya kikundi flani cha watu bali ni ya watanzania wote. Siku watu watakapo dai haki yao kama walivyofanya kwa mkoloni watakao beba lawama ni wale walifumbia macho visa hivi vya kishetani.
 
Mauchungu ya moyoni mwa watu kwasababu ya haya mambo ya kihuni kikatili na kijasusi yanakaribia kufurika. Yajayo wakina Sabaya na wenzie watayapenda.
 
Mat
Mipumbavu kabisa! Kazi kukas kwenye mitandao kulalamika na kuitukana serikali. Waache watanyoka tu!
Matusi, dhihaka na dharau unaofanywa na kikundi dhidi ya wananchi au kundi katika nchi kama mfanyavyo wewe na wenzio ndio iliyoleta mauaji ya kimbari kule Rwanda. Unachofanya hapa ni sawa kabisa na walichofanya waliowaita wenzao Cockroaches.
 
Siku hizi mabazazi hawana tabu,akifumaniwa na mke wa mtu,anamwambia tu mkewe,nimepigwa na wasiojulikana
 
Hahaaa kama Kinana, Nape, Makamba Family, JK et al wanalaumu tena kinyago chao ijekuwa wewe ambaye hujui hata kura zake za maoni alizopata pale Kizota 😂, Bro acha uzwazwa ase wenye kinyago walishasema kimekengeuka.
Tumieni elimu zenu kutatua changamoto zenyu, hao wote ulio wataja walipo pewa nafasi ya kuweka mazingira ya kudhibiti vinyago elimu zao hazikuwafaa badala yake wakatumia matumbomi yao kufanya waliyo yafanya, wacha kinyago chao kiwazinguwe.
 
Mkuu wa ulinzi na usalama inausiana na nini mbowe kumsalimia mgonjwa!
Anajulia hali mgonjwa. Ugonjwa gani? Majeraha. Kavunjwa mkono na mguu. Alitekwa kwanza na watu wasiojulikana. Wakafanya hiyo shughuli. Walitoka wapi? Sio hoja. Huo uharamia umefanyika wapi? Hilo la muhimu. Territorial jurisdiction. Kwenye strong fortress ni salama. Hai sio salama. Kinara wa ulinzi na usalama yuko busy na kitu kidogo. Pengine hakuna haja ya ngome imara kwa wana wa Hai! Wasiojulikana ndio walinzi wa usalama wao. Makusudi naandika hivi. Neno mojamoja. Hata chekechea anashangaa. Mambo wazi kabisa. Lakini kuna binadamu haelewi uhusiano uliopo: kukosa ulinzi> kutekwa> kuvunjwa mguu na mkono> kulazwa hospitalini> kusalimiwa kama mgonjwa. Wahenga walisema kuwa akili ni nywele. Kipara kipya hakina nywele. Akili sio kwa kila mtu. Wengine mmekosa!
 

Siasa ni Kama maji.. Ukiwa timamu kabisa Huwezi kukwepa siasa.. labda uwe tabularasa!
 
 
 
Mkuu umenichekesha kinoma
 
Tanzania imeingia kwenye siasa za hovyo kabisa katika uso wa dunia, Yaani unadiriki Kujeruhi, Kunaua, kutesa eti kisa tu mi madaraka?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…