Freeman Mbowe afika KCMC kumjulia hali Katibu wa Chadema aliyevunjwa miguu na mikono na wasiojulikana

thetallest

thetallest

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2017
Messages
5,847
Points
2,000
thetallest

thetallest

JF-Expert Member
Joined Oct 21, 2017
5,847 2,000
View attachment 1177888

Mwenyekiti wa Chadema na Kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani bungeni Mh Freeman Mbowe , amefika kwenye Hospitali ya KCMC kumjulia hali Katibu wa Chadema jimbo la Hai ambaye alitekwa na kuvunjwa mguu na mkono na wanaoitwa watu wasiojulikana .

Ikumbukwe kwamba Mkuu wa Ulinzi na Usalama wa Wilaya ya Hai ambaye pia ni DC wa Wilaya hiyo , mwenye kashfa ya kuomba rushwa wafanyabiashara anaitwa Ole Sabaya
Mnaficha nini wakati alifumwa ugoni?,shenzi zake,angeuwawa tu
 
thetallest

thetallest

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2017
Messages
5,847
Points
2,000
thetallest

thetallest

JF-Expert Member
Joined Oct 21, 2017
5,847 2,000
umeandika utumbo kabisa. Think Big acha kuwa mpumbavu wa kias hiki.
Kama na wewe ukisha pata msosi wa kuungaunga na elimu yako ya udsm hua unatafuta kivuli kumlaumu Magufuli,pumbavu zako sana
 
N

Ninaweza

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2010
Messages
9,164
Points
2,000
N

Ninaweza

JF-Expert Member
Joined Dec 14, 2010
9,164 2,000
Hivi wasomi watz hatuna kingine cha kufanya kweli badala ya kushupalia siasa?

Utakuta jitu ni lihitimu chuo kikuu cha Dar es salaam kitivo cha uhandisi na teknolojia "coet" haliwez hata kutengeneza kalavat likisha unga unga msosi wa mchana linatafuta kivuli kuongelea siasa/kumlaumu magu.......

Umri haungoji mtu angalieni!!!
Usomi wenu ni ubatili mtupu kama mna siasa mbovu, ndo utakutana na maprofesa wanao lilia kueuliwa kuwa wakuu wa mikoa/wilaya,.........
 
Prince Kunta

Prince Kunta

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2014
Messages
14,385
Points
2,000
Prince Kunta

Prince Kunta

JF-Expert Member
Joined Mar 27, 2014
14,385 2,000
Hivi wasomi watz hatuna kingine cha kufanya kweli badala ya kushupalia siasa?

Utakuta jitu ni lihitimu chuo kikuu cha Dar es salaam kitivo cha uhandisi na teknolojia "coet" haliwez hata kutengeneza kalavat likisha unga unga msosi wa mchana linatafuta kivuli kuongelea siasa/kumlaumu magu.......

Umri haungoji mtu angalieni!!!
Unajua maana ya siasa?
 
P

Pythagoras

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2015
Messages
5,837
Points
2,000
P

Pythagoras

JF-Expert Member
Joined Feb 24, 2015
5,837 2,000

ili tuwaache wasiojulikana Mtambe??
 
P

Pythagoras

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2015
Messages
5,837
Points
2,000
P

Pythagoras

JF-Expert Member
Joined Feb 24, 2015
5,837 2,000
Huyu mkuu wa ulinzi na usalama ni mtu wa kutiliwa mashakaView attachment 1177917
wasiojulikana, waache wafurahiedunia lakini kabla hawajafa Kisukar, stroke, figo zitaoza watalala vitandani miaka miwili huku.wakijinyea, vidonda tele mwilini, kutapika, vichwa vikiuma .....malipo ni hapahapa duniani, Karma haidanganyi, wajifunze kwa waliotangulia.
 
P

Pythagoras

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2015
Messages
5,837
Points
2,000
P

Pythagoras

JF-Expert Member
Joined Feb 24, 2015
5,837 2,000
View attachment 1177888

Mwenyekiti wa Chadema na Kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani bungeni Mh Freeman Mbowe , amefika kwenye Hospitali ya KCMC kumjulia hali Katibu wa Chadema jimbo la Hai ambaye alitekwa na kuvunjwa mguu na mkono na wanaoitwa watu wasiojulikana .

Ikumbukwe kwamba Mkuu wa Ulinzi na Usalama wa Wilaya ya Hai ambaye pia ni DC wa Wilaya hiyo , mwenye kashfa ya kuomba rushwa wafanyabiashara anaitwa Ole Sabaya
pole sana Kamanda
 
Lihakanga

Lihakanga

JF-Expert Member
Joined
Dec 17, 2016
Messages
1,321
Points
2,000
Lihakanga

Lihakanga

JF-Expert Member
Joined Dec 17, 2016
1,321 2,000
Hao wasiojulikana dawa yao ni kuchinja ndugu zao
Kumbe mnawafaham, kwanini msiwachinje wao? Kwanini mkwachinje ndugu zao? Akili ya nyumbu bhana. Unaujua mlango ulipo, unaingilia dirishani.
 
Lihakanga

Lihakanga

JF-Expert Member
Joined
Dec 17, 2016
Messages
1,321
Points
2,000
Lihakanga

Lihakanga

JF-Expert Member
Joined Dec 17, 2016
1,321 2,000
wasiojulikana, waache wafurahiedunia lakini kabla hawajafa Kisukar, stroke, figo zitaoza watalala vitandani miaka miwili huku.wakijinyea, vidonda tele mwilini, kutapika, vichwa vikiuma .....malipo ni hapahapa duniani, Karma haidanganyi, wajifunze kwa waliotangulia.
Dua la kuku hilo
 
B

big_in

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2013
Messages
4,151
Points
1,500
B

big_in

JF-Expert Member
Joined Sep 26, 2013
4,151 1,500
View attachment 1177888

Mwenyekiti wa Chadema na Kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani bungeni Mh Freeman Mbowe , amefika kwenye Hospitali ya KCMC kumjulia hali Katibu wa Chadema jimbo la Hai ambaye alitekwa na kuvunjwa mguu na mkono na wanaoitwa watu wasiojulikana .

Ikumbukwe kwamba Mkuu wa Ulinzi na Usalama wa Wilaya ya Hai ambaye pia ni DC wa Wilaya hiyo , mwenye kashfa ya kuomba rushwa wafanyabiashara anaitwa Ole Sabaya
Wake za watu ni noma hatari sana tuwemakini
 
P

Pythagoras

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2015
Messages
5,837
Points
2,000
P

Pythagoras

JF-Expert Member
Joined Feb 24, 2015
5,837 2,000
Dua la kuku hilo
nikutajie mfano utawajua na wengine ni ndugu zangu wa damu, tiss ni taassis ya serikali kuna majirani, ndugu na marafiki zetu humo acha umbulula.
 
Avriel

Avriel

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2017
Messages
1,710
Points
2,000
Avriel

Avriel

JF-Expert Member
Joined Jun 25, 2017
1,710 2,000
Alifumaniwaje bila mwanamke wala mme wa huyo mwanamke ? jiongeze baba , Lwajabe tuliambiwa kajinyonga huku akiwa kavaa fulana mpya ambayo wanyongaji walimvisha !
Aisee!!!!
 
M

Mkirindi

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2011
Messages
5,192
Points
2,000
M

Mkirindi

JF-Expert Member
Joined Mar 2, 2011
5,192 2,000
Magenta ya MAFIA juke USA, ile miaka ya 60 - 70s, waliokuwa wakitaka kutuma message ya tishio kubwa, waliitumia staili hii. Breaking legs and arms. HER YOU NDIYO STAILI MPYA YA VITISHO ITAKAYOENDELEA KUTUMIKA.
 
E

Essien jr

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2018
Messages
486
Points
1,000
E

Essien jr

JF-Expert Member
Joined Dec 27, 2018
486 1,000
Usomi wenu ni ubatili mtupu kama mna siasa mbovu, ndo utakutana na maprofesa wanao lilia kueuliwa kuwa wakuu wa mikoa/wilaya,.........
Hahaaa kama Kinana, Nape, Makamba Family, JK et al wanalaumu tena kinyago chao ijekuwa wewe ambaye hujui hata kura zake za maoni alizopata pale Kizota 😂, Bro acha uzwazwa ase wenye kinyago walishasema kimekengeuka.
 
smarte_r

smarte_r

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2013
Messages
1,013
Points
2,000
smarte_r

smarte_r

JF-Expert Member
Joined Nov 8, 2013
1,013 2,000
Hivi wasomi watz hatuna kingine cha kufanya kweli badala ya kushupalia siasa?

Utakuta jitu ni lihitimu chuo kikuu cha Dar es salaam kitivo cha uhandisi na teknolojia "coet" haliwez hata kutengeneza kalavat likisha unga unga msosi wa mchana linatafuta kivuli kuongelea siasa/kumlaumu magu.......

Umri haungoji mtu angalieni!!!
kuna mtu mmoja mzito sana nchini ana Phd ya kemia. nasikia chapisho lake la kupata Phd lilihusu utafiti wa kisayansi kuhusu maganda ya korosho.

sasa tuanze na huyu. hata dawa tu kawaida ya kupunguza wadudu kama nzi pale ikulu kashindwa kutengeneza.
 
Forum statistics

Threads 1,326,261
Members 509,458
Posts 32,216,041
Top