LUFRA LUFTANSA
Senior Member
- Jul 2, 2018
- 159
- 189
Sisi CCM tunaamini kwamba tukimuweza kumbana Mbowe, tumeshamaliza kazi[/QUOTEni ngumu kumtoa mbowe, CCM Mnawashwa sana na mambo ya CHADEMA!
Sisi CCM tunaamini kwamba tukimuweza kumbana Mbowe, tumeshamaliza kazi[/QUOTEni ngumu kumtoa mbowe, CCM Mnawashwa sana na mambo ya CHADEMA!
Sisi CCM tunaamini kwamba tukimuweza kumbana Mbowe, tumeshamaliza kazi
Alafu CCM hamna hata haibu, mnasaidiwa na usalama wa taifa,jeshi la polisi na NEC lakini bado mnawashwa na CHADEMA ambayo inasonga kwa nguvu za Mungu,acheni hizo basi hii nchi ni yetu sote!Sisi CCM tunaamini kwamba tukimuweza kumbana Mbowe, tumeshamaliza kazi
ile ilikuwa komesha mkuu .Kile kipigo cha mbwa koko 2015 (ccm 30% CDM 70%) kiliwachanganya
Hiyo timu unashindananayo wakati umeifunga miguu alafu unajisifu kushinda.Wewe ni kicha kwa tafsiri rahisi.ukiona Mashabiki wanatetea Timu Yao haitoshuka daraja badala ya kutetea itachukua Kombe jua hali mbaya sana
Nenda kwanza kanyonyeshe mtoto chupa lazima uendekeze ujinga wenu make mumenufaika hadi kupata wztoto chupa ambaye bila helaya ummaukiona Mashabiki wanatetea Timu Yao haitoshuka daraja badala ya kutetea itachukua Kombe jua hali mbaya sana
Mumemuziia chama mwenyekiti wenu magufuli hamfurukuti yaani anawzendesha kama gari bovu mumeufyata ha haTatizo amekua Ayatollah Mbowe Chadema,Mwenyekiti wa Kudumu Chadema, CCM inachokifanya ni kama USA kuondoa viongozi waliokaa madarakani Muda mrefu kwa kuminya Demokrasia
Amewatia mimba.Kamanda wa anga, Mh.Mbowe, hawa ma-CCM uliwafanya nini?
Vyama vya upinzani viko vingi, lakini wenyeviti wa vyama hivi hatusikii wakiandamwa kama wewe.Tatizo ni nini?
Ungekuwa unapenda cheo, hivi hata uwaziri mkuu wasingekupa mradi tu uondoke CHADEMA?
Jamani, CHADEMA ni chama cha watu, hivyo ukitaka kukiua, ua kwanza watu kama utaweza na ukishindwa, basi jiunge nacho vinginevyo utapata tabu sana.
Hata hawa wanaojiuzulu na kuhama;wengi kama sio wote, bila udhamini wa CHADEMA kwenye uchaguzi mkuu wa 2015; wasingeshinda hizo nafasi.
Acheni kutwanga maji kwenye kinu, mnapoteza muda na nguvu zenu bure!
All you can do ni kuchelewesha tu mabadiliko lakini kamwe si kuyazui.
CHADEMA ni watu, na watu ni CHADEMA.
Itakuchukua muda kuamini ila ndio ashapotezwa. Uamshangilia mwanaume mwenzio kakupa nn?Kamanda wa anga, Mh.Mbowe, hawa ma-CCM uliwafanya nini?
Vyama vya upinzani viko vingi, lakini wenyeviti wa vyama hivi hatusikii wakiandamwa kama wewe.Tatizo ni nini?
Ungekuwa unapenda cheo, hivi hata uwaziri mkuu wasingekupa mradi tu uondoke CHADEMA?
Jamani, CHADEMA ni chama cha watu, hivyo ukitaka kukiua, ua kwanza watu kama utaweza na ukishindwa, basi jiunge nacho vinginevyo utapata tabu sana.
Hata hawa wanaojiuzulu na kuhama;wengi kama sio wote, bila udhamini wa CHADEMA kwenye uchaguzi mkuu wa 2015; wasingeshinda hizo nafasi.
Acheni kutwanga maji kwenye kinu, mnapoteza muda na nguvu zenu bure!
All you can do ni kuchelewesha tu mabadiliko lakini kamwe si kuyazui.
CHADEMA ni watu, na watu ni CHADEMA.
Hao ulio wataja kampeni zao wanafanyia wapi,kwa sababu majukwaani hawaonekaniAlafu CCM hamna hata haibu, mnasaidiwa na usalama wa taifa,jeshi la polisi na NEC lakini bado mnawashwa na CHADEMA ambayo inasonga kwa nguvu za Mungu,acheni hizo basi hii nchi ni yetu sote!
Mi sio mfuasi wa CHADEMA ila nadhani Mh.Mbowe ni jasiri katika kuwa mwenyekiti kuliko MTU yoyote aliyewahi kupata umaarufu kupitia CHADEMA..hapo wote wanaohama ni kwa sababu zao wanazozificha kutaka kinga ya siasa katika chama kingineUjinga ni kuaminisha watu kuwa bila Mbowe hakuna Chadema .....sawa kusema bila Magufuli Tanzania haiwezi kuendelea...
Tujikite kuamini Taasisi sio watu..
nyuma ya kapeti ndo shughuli wanakofanyia hivyo hawaonekani kama ni msaada ila ndo msaada mkubwa wa CCM !Hao ulio wataja kampeni zao wanafanyia wapi,kwa sababu majukwaani hawaonekani
Mbowe kawashika mzutii yani mnakatika kwa kufuata mdundo wa cdm,awamu hii ccm imejaza vijana,wazee wajinga,vilaza,njaa kali kuliko awamu zote na bado mtakufa njaa sanaukiona Mashabiki wanatetea Timu Yao haitoshuka daraja badala ya kutetea itachukua Kombe jua hali mbaya sana
Mimi napenda upinzani ila chadema mnaonesha ukabila live
Misururu haitaonekana lakini ...atatangazwa amepata kura 98,123Ngoja uone uchaguzi mdogo wa Oktoba 13 kama matapata hata asilimia 20 ya waliojiandikisha.
Kama kweli wanampenda Jiwe, basi tutaona misururu mirefu kwenye polling stations ikiwa ni ishara ya kuunga mkono juhudi.
Sasa huko nyuma ya kapet nani wasikilizaji wake,nyuma ya kapeti ndo shughuli wanakofanyia hivyo hawaonekani kama ni msaada ila ndo msaada mkubwa wa CCM !