Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,196
- 162,723
Kamanda wa anga, Mh.Mbowe, hawa ma-CCM uliwafanya nini?
Vyama vya upinzani viko vingi, lakini wenyeviti wa vyama hivi hatusikii wakiandamwa kama wewe.Tatizo ni nini?
Ungekuwa unapenda cheo, hivi hata uwaziri mkuu wasingekupa mradi tu uondoke CHADEMA?
Jamani, CHADEMA ni chama cha watu, hivyo ukitaka kukiua, ua kwanza watu kama utaweza na ukishindwa, basi jiunge nacho vinginevyo utapata tabu sana.
Hata hawa wanaojiuzulu na kuhama;wengi kama sio wote, bila udhamini wa CHADEMA kwenye uchaguzi mkuu wa 2015; wasingeshinda hizo nafasi.
Acheni kutwanga maji kwenye kinu, mnapoteza muda na nguvu zenu bure!
All you can do ni kuchelewesha tu mabadiliko lakini kamwe si kuyazui.
CHADEMA ni watu, na watu ni CHADEMA.