Freelancer Wakala
JF-Expert Member
- Feb 6, 2016
- 1,193
- 828
Kwanza Ahsante uongozi wa JF kwa kunikubalia akaunti yangu.
Mimi ni Freelancer Wakala karibia mitandao yote.
Ukiwa na tatizo usihofu tupo kwa ajili yako!
Au utapiga namba 100 kwa msaada zaidi.
Yaani ndo nimetumia ID hii nimeushirikiaha ubongo wangu,tujue kuwa kuna Wakala humu JF.
Kwa msaada,tukiwa na shida Mimi au Wewe kupitia mitandao au matatizo ya kijamii humu JF,usichoke kuchangia na Mimi pia!
Tupo pamoja ma pipoooooooz!!
vodacom kazi ni kwako.