JOEL ELPHAS
Member
- Feb 8, 2013
- 20
- 9
[h=5]FREEDOM IN RELATIONSHIPS
kama mko katika mahusiano ni vema kila mmoja kumpa mwenzake uhuru, kwani itakusaidia kujua kama ni mwaminifu na tabia zake zote, mpe uhuru usimnyime kuwa jinsi alivyo bali mpe uhuru ili uone jinsi alivyo. The real way you can know your lover behaviour is the way you let her/him be free.[/h]