FreeBasics Tigo vipi

FreeBasics Tigo vipi

Jamaa wameua sana.. leo asubuhi nimeanka kutupia freebasic nakutana na chenga, kuchungulia vizuri naambiwa vodacom haiwezi.. nikasema haya bwana.. ikabidi niunge bundle tu
Eeh lazma wote tuchangie tozo bana kitonga kimefika tamati! Haiwezekani sio tulipie bundle wahuni wale nyuzi 45
 
Ttcl wana Freebasic
Speed yake ni
1626964549224.png
 
Tatizo mkipewa free access freebasic matusi mengi mnapelekaga voda na tigo ndio wakaona bora mzimiwe taa mlale mapema
 
Back
Top Bottom