FreeBasics Tigo vipi

Kuepuka usumbufu jiungeni vifurushi vya wiki..😀😀,hao jamaa achaneninao wana-stress tangu ilipotangazwa wapunguze bei za bundle zao..(
 
Upande wangu hii nisiku ya tatu freebasics siipati,😔😔,nilichoamua nikujiunga tu bando la wiki. japo wanasaidia Sana hasa unapokuwa huna bando lakini still unaweza ingia jf..!
 
Wazee wa 45 degrees angle! 😅😅😅
897F85F6-B012-47B4-BFEF-A50AC6F8D27E.png
 
Sijawahi kutumia freebasics tupeane maujanja ndugu zangu jinsi ya kutumia.
 
Back
Top Bottom