Free Wi-fi internet (TTCL)

Free Wi-fi internet (TTCL)

Kyenju

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2012
Posts
5,337
Reaction score
2,907
Katika msimu huu wa sabasaba ttcl wametoa ofa ya internet ya bure kwa muda wa masaa 5. Unachotakiwa kuwa nacho ni device yenye wi-fi, watakupa password na utaendelea kutumia internet. Huduma hii inatolewa kwenye banda la ttcl ndani ya viwanja vya sabasaba.
 
Sijui kama ni mikoa yote au ni dar tu.
 
Katika msimu huu wa sabasaba ttcl wametoa ofa ya internet ya bure kwa muda wa masaa 5. Unachotakiwa kuwa nacho ni device yenye wi-fi, watakupa password na utaendelea kutumia internet. Huduma hii inatolewa kwenye banda la ttcl ndani ya viwanja vya sabasaba.

watakupa max speed ya 4Mbps hao ambayo bora uunge vifurushi cha Tigo cha 30GB
 
Back
Top Bottom