WAZO2010
JF-Expert Member
- Feb 19, 2021
- 1,616
- 3,799
Kwahiyo ww ubinafsisha kutoa mawazo? Yako tu ndio yako sahihi?
Kwahiyo ww ubinafsisha kutoa mawazo? Yako tu ndio yako sahihi?
5G kwa Sasa hasa IPO dar es salaam mkuu, lkn 4G kote IPO na speed ni kubwa based on order of preference ya mteja.
5G chini hapa kwenye picha View attachment 2373705View attachment 2373706View attachment 2373707
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Embu fafanua ueleweke.24 Months Contract means ni mkataba unaoingia kati ya Wewe (Mteja) na vodacom (kampuni). Mkataba huo unakuwa wa miaka 2 ambapo wakija kukufungia huduma ya free Wi-Fi installation eg. 5G Mkataba wako utadumu kwa miaka miwili kwasababu hiyo installation unafungiwa free ili kuensure commitment ya mteja, na baada ya miaka miwili unaweza kurenew contract au ukaacha kuitumia generally. Kuhusu malipo ni kama ilivyo kila months utakuwa unalipia na kupata huduma yako baada ya miaka miwili (24 months) utachagua mteja kuendelea au kutoendelea kutokana na mkataba na kampuni as usual. That is means of "24 months".
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Mkuu ushafanyiwa survey? Kwasababu maeneo yanazidi kutanuka(coverage area) kila kukichaMbezi kibamba bado haijafika!
Sasahivi Tuko 5G na gharama yake ni hiyo chini hapo, kumbuka installation ni free ila unalipia operation cost za kila mwezi kulingana na chaguo lako la bundle km ilivyooneshwa chiniEmbu fafanua ueleweke.
TZS 115,000/- ni ya wewe kunifungia (installation cost), je kila mwezi nitakua nalipia kiasi gani ?
Je naweza tembea na hiyo device?
Usitumie nguvu ndugu nichi huru hii. ..karibu sn ujue packet zinavyofichwa na headers za ip wkt data zinapohama toka kwenye cm yako mpk kwenye mnara nakuzipeleka MSC for packet switching. ..karibu sna
Mkuu wangu kwasasa tuko 5G na tunafanya promotion ya 5G, kwahiyo mobile device for free Wi-Fi za 5G kwasasa hazipo.Je naweza tembea na hiyo device?
Mkuu wangu karibu Sana ndugu, kwasasa tuko 5G, ile 115k ilikuwa 4G za mwanzo ambapo Sasa tunafanya promotion ya 5G, 120k tunaanzia karibu tukuhudumie au nicheki kwa +255656946198 kwaajiri ya huduma.Niko Tabata segerea nataka cha 115k
Kifurushi cha 150 kwa mwezi bei gani
Hii ni kwa dar tu au Hadi mikoani kama arusha?Kama upo karibu na cable za zuku aiseee ipo poa pia mbs 20 kwa 69,000 .yaani simu zote connected, smart tv ,laptop etc..
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Uko dar? Maana kwa sasa hio 5G iko baadhi ya maeneo ya dar lkn pia mpk mwezi wa 11 mtakuwa upgradedMimi ninayo router ya 4G je naweza kuupgrade kwenda 5G?
Kuna video clipNa kunaitajika waya kuingia ndani? Naomba unipiigie pic router na vifaa vyote nione