Balozi limited
JF-Expert Member
- Jun 6, 2022
- 989
- 2,569
- Thread starter
- #21
24 Months Contract means ni mkataba unaoingia kati ya Wewe (Mteja) na vodacom (kampuni). Mkataba huo unakuwa wa miaka 2 ambapo wakija kukufungia huduma ya free Wi-Fi installation eg. 5G Mkataba wako utadumu kwa miaka miwili kwasababu hiyo installation unafungiwa free ili kuensure commitment ya mteja, na baada ya miaka miwili unaweza kurenew contract au ukaacha kuitumia generally. Kuhusu malipo ni kama ilivyo kila months utakuwa unalipia na kupata huduma yako baada ya miaka miwili (24 months) utachagua mteja kuendelea au kutoendelea kutokana na mkataba na kampuni as usual. That is means of "24 months".Na mimi natamani kujua hili.
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app