chief mimi nipo hapa "Marketing Research, strategies, plans & highly effective campaigns"qualification zangu zipo kwenye marketing zaidi!lakini napenda kuwa self employed zaidi kuliko kuendelea kufanya kazi za mshahara,nataka kuform company itakayofanya kazi ambazo zinalipa na nimeona nikijikita kwenye web design,web hosting,isp,na vitu kama hivyo naweka kufanya biasharalakini naona inahitajika mtaji mkubwa sana,unaonaje?