Kaka arselona na wana jamii forums wenzangu,msaada kwenye hili,tena msaada wa haraka sana,nimelekwa kwa mrusi mmoja hapa dar,anataka channels kutoka russia,ana euro star 8ft solid dish,receiver ya arisat mpeg4 hd,single solution lnb eurostar,ku bracket na fuji ku band lnb high gain,sasa wandugu,satellite gani ntapata channels za russia?au niache pesa mezani niondoke jaman msaada