Dvb T ipo sehemu nyingi Sana mkuu, inawezekana hata TV yako Sasa Hivi inayo, ama deki, ama receiver ya dish, ving'amuzi Kama startimes na continental vya antenna, na vifaa vyengine vingi.
Hii ndio imekuja kureplace analog. Hivyo angalia kwanza Kama vifaa vyako vina hii tech,
Kwa maelezo mkuu hawaja specify wifi ya Nini Wala ya kazi gani, tunayoizungumzia Hapa Ni ya kukuwezesha kuangalia iptv ama YouTube. I doubt Kama kifaa Cha dola 7 kinaweza kuwa na uwezo huu mkuu.