Free to air decoder

Free to air decoder

leothebest1

Member
Joined
Dec 1, 2016
Posts
54
Reaction score
18
jamani kwa anaye tumia startime ya dish zile decoder nyeusi unaweza tumia kama free to air kwa kuweka channel zako zingine ukiachana na startime kwa mfano continental inauwezo wa kufanya hvy
 
Je kwa sisi wa antena vp tunaweza kupata hizo za bure au kuongeza
 
jamani kwa anaye tumia startime ya dish zile decoder nyeusi unaweza tumia kama free to air kwa kuweka channel zako zingine ukiachana na startime kwa mfano continental inauwezo wa kufanya hvy
weka maelekezo jinsi ya kuongeza hizo channel
 
Back
Top Bottom