youngsharo
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 2,491
- 500
Nashushia kamkojo ,pembeni supu ya mamba
sina usharo navaa midosho sinyuki pamba/
mzuri kama demu wako cheki ulivyoni bamba/
usishangae nitakuficha kama nimekufunga kamba/
natamba kwa demu wako zaidi ya sultani Tamba/
mwambie dada ako asishoboke nitakuja kumto***/
cc Mafikizolo
Mkuu hapo mwisho .... Hayo maneno ulotumia hadi aibu
dada mi mswazi sijajifunza ustaarabu/
sina muda wa mafumbo ya taarabu/
kama utamind itakua bila sababu/
nimekulia kwenye dhiki na tabu/
sijali ukiniita sina adabu/
Umetiashaa jombaa haya tuflow sasa,nakuona unamidevu kama ya mwisho mwampamba, UKija ghetto kwangu nitakupamba, naulivyo nyuka pamba utazidi kunibamba,maana unambavu kama bodyguard wa makambasina usharo navaa midosho sinyuki pamba/
mzuri kama demu wako cheki ulivyoni bamba/
usishangae nitakuficha kama nimekufunga kamba/
natamba kwa demu wako zaidi ya sultani Tamba/
mwambie dada ako asishoboke nitakuja kumto***/
cc Mafikizolo
Mkuu hapo mwisho .... Hayo maneno ulotumia hadi aibu
Embu shusha yako mistari hapa
Umetiashaa jombaa haya tuflow sasa,nakuona unamidevu kama ya mwisho mwampamba, UKija ghetto kwangu nitakupamba, naulivyo nyuka pamba utazidi kunibamba,maana unambavu kama bodyguard wa makamba
Cc MO11
Mkuu hapo mwisho .... Hayo maneno ulotumia hadi aibu
Embu shusha yako mistari hapa
Hapa naangalia tu sina ujanja
Hapa naangalia tu sina ujanja
ghetto gani ghetto lenyewe la kishamba/
kuanzia godoro hadi mashuka ni ya mtumba/
ghetto lipo porini huko mnapaita kibamba/
acha fiksi huwezi nifunga kamba/
Jaribu luv
Dude mbn mnarhyme kibishoo
Boko haram nimefika mkanga sumu nakaba koo
Hapa flow tamu kama uvinza maujanja yanapitiliza kama kariakoo
Wananiita gwiji kachaa kichaa cha mistari mirembe ya mayoyoo
We mbona hujashusha umekopi ya young killer?