Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,114
- 34,956
Mkuu kitalolo tutawapeleka kwenye Mahakama ya Dunia huko Holland The Hague wakitaka wasitake. Mr Obama Amemuuwa Kanal Qaddafi, na Osama Bin Laden,Mr Bush na Mwenazake Dick cheney Tutawapeleka Mahakamani THE HAGUE kwa kosa la kumuuwa Sadaam Husein na kuifanya Dunia kuwa na njaa ya Uchumi.Mbona itakuwa kizaizai hapo mwanangu?
utakuwa ndio mwisho wa dunia