Makenya Member Joined Jan 20, 2011 Posts 33 Reaction score 3 May 20, 2012 #1 Wana JF nauliza kuna mtu anazijua free pages kwenye mtandao naweza download picha za ukutani, nimejaribu kuperuzi nyingi ni za kulipia wakubwa
Wana JF nauliza kuna mtu anazijua free pages kwenye mtandao naweza download picha za ukutani, nimejaribu kuperuzi nyingi ni za kulipia wakubwa
gfsonwin JF-Expert Member Joined Apr 12, 2012 Posts 18,272 Reaction score 20,714 May 20, 2012 #2 Makenya duh! hizi picha za ukutani ni hizi za mapambo tunazonunuaga kwenye hayo maduka ya wenzetu? au Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Makenya duh! hizi picha za ukutani ni hizi za mapambo tunazonunuaga kwenye hayo maduka ya wenzetu? au
Makenya Member Joined Jan 20, 2011 Posts 33 Reaction score 3 May 20, 2012 Thread starter #3 Ni kama zile za kushorwa, au watu maarufu duniani, ssa unaweza kuzidownload then ukazitengenezea fremu, ukaziweka ukutani mkubwa
Ni kama zile za kushorwa, au watu maarufu duniani, ssa unaweza kuzidownload then ukazitengenezea fremu, ukaziweka ukutani mkubwa
Lokissa JF-Expert Member Joined Nov 20, 2010 Posts 7,445 Reaction score 2,507 May 20, 2012 #4 painting zinauzwa acha kupenda vya bure mtafute mchoraji mzuri akuchoree what you like na frame atakuwekea
painting zinauzwa acha kupenda vya bure mtafute mchoraji mzuri akuchoree what you like na frame atakuwekea
Power G JF-Expert Member Joined Apr 20, 2011 Posts 3,884 Reaction score 1,200 May 20, 2012 #5 Hata hiyo avatar yako inatosha kuweka ukutani mkuu.
SIMBA WA TARANGA JF-Expert Member Joined Feb 14, 2012 Posts 987 Reaction score 220 May 20, 2012 #6 Power said: Hata hiyo avatar yako inatosha kuweka ukutani mkuu. Click to expand... Hata hii Avatar yako itamfaa kuweka getini au mlango wa kuingilia ndani, wezi wataishia nje.
Power said: Hata hiyo avatar yako inatosha kuweka ukutani mkuu. Click to expand... Hata hii Avatar yako itamfaa kuweka getini au mlango wa kuingilia ndani, wezi wataishia nje.