Free overnight airtel internet!

Duh! Yaani mtu unapoteza usingizi wako muhimu kwa afya yako kwaajili ya 200MB?


Ha ha ha! Nilisahau kuwa watz tu hodari wakupenda vya bure! Vya. Bure gharama jamani
 
Back
Top Bottom