Free movement EA Tanzania a lone ranger.

simplemind

JF-Expert Member
Apr 10, 2009
16,418
9,206
While Kenya ,Uganda and Rwanda have lifted obstacles to free movement of people including use of National ID card as travel document and lifting of visa requirement, Tanzania has yet to open up its borders to East African citizen. Benefits of free movement need not be overemphasized. As first step towards free movement Tanzania should enforce the six month rule . Further as matter of goodwill all East African countries should lift visa requirement for senior citizen (45 and above).
 
Hao walioondoa wamenufaika nini?

Na sisi tutanufaika nini?

Sio kila kitu ni cha kukurupukia
 
While Kenya ,Uganda and Rwanda have lifted obstacles to free movement of people including use of National ID card as travel document and lifting of visa requirement, Tanzania has yet to open up its borders to East African citizen. Benefits of free movement need not be overemphasized. As first step towards free movement Tanzania should enforce the six month rule . Further as matter of goodwill all East African should lift visa requirement for senior citizen (45 and above).

Nijuavyo mimi raia wa AM hawahitaji viza kuja nchini TanZania, bali wanahitaji tu hati ya kusafiria!
 
Nijuavyo mimi raia wa AM hawahitaji viza kuja nchini TanZania, bali wanahitaji tu hati ya kusafiria!
AM? did you mean EA? Really? Reality on the ground speaks otherwise. Restriction on free movement are alive and kicking.
 
AM? did you mean EA? Really? Reality on the ground speaks otherwise. Restriction on free movement are alive and kicking.

Wewe umetumia neno VIZA au labda haulewi maana ya neno viza unajiandikia tu? Hakuna raia wa AM anayehitaji viza kuja Tanzania, na Raia yoyote yule wa AM anaweza kuingia nchini mwetu na kukaa mpaka siku 90 bila ya viza sasa hiyo restriction of free movement unayoingolea unaitoa wapi?

Hakuna katazo lolote lile la raia wa nchi mwanachama wa AM kuingia TanZania, anahitaji hati ya kusafiria tu!
 
Free movement of people ni zaidi ya ruksa kuishi nchini miezi mitatu! READ EA PROTOCOL ON FREE MOVEMENT OF PERSONS.
 
Free movement of people ni zaidi ya ruksa kuishi nchini miezi mitatu! READ EA PROTOCOL ON FREE MOVEMENT OF PERSONS.

Sasa ungeelezea vizuri kwani ukisema tu free movement of people hairuhusiwi ina maana raia wa AM wanahitaji viza kusafiri ktk nchi moja kwenye nyingine, hivyo ulipaswa ufunguke zaidi ulichomaanisha!
 
Back
Top Bottom