Hapo kwenye Red nadhani utakuwa unakishindilia hicho kitu kichwani sio kukitoa.....Fanya activities yoyote unayoipenda mfano music, games, movies, going out in a quite place.
Mimi huwa, ninajifungia room, nazima simu then naweka headphone, nafungulia mziki ninaoupenda (mfano Rock and Metal), huku nikicheza kwa furaha, kama kuna ufagio nitaufanya guitar, huku nashake kichwa, sometime nina pretend ndio drummer au lead singer kwenye show fulani, lol...i love Music. {sounds crazy}
it works.
#ROCK AND ROLL
Sometime ninafanya MEDITATION, kama wewe ni mpole, and hupendi fujo faja MEDITATION, ni nzuri kuliko kunywa pombe.
Hapo kwenye Red nadhani utakuwa unakishindilia hicho kitu kichwani sio kukitoa.....
umeshawahi kuweka headphones kwa masikio na kuweka music lakini ukawa huusikilizi huo mziki??
Kuwa busy jf.
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
kwi kwi kwi ! kweli sifi na cha moto nakionaje mama!
i wish nichukulie hivo nashindwa kabisaKwanza lazima ukikubali kwamba kimetokea kwenye maisha yako,then kichukilie kama tatizo la kawaida na linaweza kumtokea mtu yeyote,and jiamini kwamba bado unanafasi ya kufanya viziri katika maisha yako.
Ukiwa na mtazamo huu,hatachukua mda kukisahau.
Fanya activities yoyote unayoipenda mfano music, games, movies, going out in a quite place.