Jitu jeusi
JF-Expert Member
- Oct 18, 2015
- 1,722
- 2,401
Nime twngeneza website nyingi sana hadi muda huu zipo hewani, najua nnachokifanya wala sio ngeni wa hii tasnia,ujawahi kudesign website nini! kama umeshamaliza kudesign kuna haja gani ya kutest wewe nunua tu PLAN unayotak then ifanyie marketing
Tumia hii mkuuNime twngeneza website nyingi sana hadi muda huu zipo hewani, najua nnachokifanya wala sio ngeni wa hii tasnia,
Nataka mtu wa mbali aione kwanza alafu ghalama za hosting zitakua juu yake maana mimi kazi yangu ndo itakuwa imeishia pale.
Do you gat me...?
Nime twngeneza website nyingi sana hadi muda huu zipo hewani, najua nnachokifanya wala sio ngeni wa hii tasnia,
Nataka mtu wa mbali aione kwanza alafu ghalama za hosting zitakua juu yake maana mimi kazi yangu ndo itakuwa imeishia pale.
Do you gat me...?