Free Fax To Email Services now Available

Free Fax To Email Services now Available

fax2Email

Member
Joined
Apr 22, 2014
Posts
6
Reaction score
0
Habari wanajukwaa.

napenda kuwajulisha kuwa sasa unaweza pokea fax zako zote kwa kupitia simu yako ya mkononi kwa kupitia huduma yetu ya fax2Email inayotolewa bure kabisa. unachotakiwa kukifanya ni kunitumia eamil address yako nami nitakuunganisha na kukupatia namba yako ya fax ambayo utakuwa unatumia

Kwa wale wenye mahitaji ya kampuni au binafsi wote mnaweza kuunganishwa na huduma hii na kila mtu kupata nambari yake ya Fax ili kupata taarifa zenu kwa wakati na kuongeza ufanisi wa kazi zenu. Huduma hii bora inatolewa na TTCL wakishirikiana na I.V Telecoms ya Afrika Kusini.

Kwa maelezo zaidi niPM au tuma email kwenda sshalua16@gmail.com

Karibuni sana
 
SOME FEATURES OF Fax2Email:


Inbound faxes are FREE of charge.
No setup or management fees.
Instant setup.
Faxes delivered to your inbox.
Better print quality.
Environment friendly faxes as they significantly reduce CO2 emissions and reduce Carbon footprint.
Received faxes can be redirected to any email address worldwide.
Fax numbers remain unchanged should the company move.
Direct saving on paper, ink, fax machine maintenance and rental's etc.
No line is ever engaged.
 
Service nzuri lakini imekuja wakati ambao teknolojia ya faksi haina mashiko sana. Kama ingekuwa miaka ya 2005 kurudi nyuma ingekuwa huduma bora sana.

Service ni nzuri hata mimi nina namba yangu lakini sijawahi kuombwa kutumiwa kitu kupitia faksi hata siku moja.
 
Service nzuri lakini imekuja wakati ambao teknolojia ya faksi haina mashiko sana. Kama ingekuwa miaka ya 2005 kurudi nyuma ingekuwa huduma bora sana.

Service ni nzuri hata mimi nina namba yangu lakini sijawahi kuombwa kutumiwa kitu kupitia faksi hata siku moja.


ni sawa na inategemea na nature ya kazi yako mkuu. kuna makampuni mengi sana makubwa na watu binafsi tunafanya nao kazi.

nashukuru kwa kuridhika na huduma zetu.

karibu sana.
 
Back
Top Bottom