Deejay nasmile
JF-Expert Member
- Nov 8, 2011
- 5,822
- 5,415
VpMmmh
Ilifungwa kusurf bure pamoja na free FB kipindi kile cha HA Tunnel sabu zilikua zimehostiwa Cloudflare na Cloudfront ambako ndiko hosts za free internet umlizokua unatumia kwenye HA Tunnel zilikua zinapatikana hukohuko so ISPs wakaona yanini kuendelea kutoa huduma ya freebasics na free facebook wakati mna uwezo wa kununua MB [emoji23][emoji23][emoji23]...Mwanzo nilikuwa hata kama sina bando nikiwa na line ya halotel naweza kuingia baadhi ya sites kama JF buree kabisa...lakini saiv inakataaa.
Nimejarib kubadili line ya mtandao mwingine nako ni holaaa!! Vp huduma imesitishwa au nini shida??
Wajuvi mnisaidie.
Vpn ipi inayopiga kazi bila magumash?Komaa na vpn japo inaua battery
Nasubiri jibuVpn ipi inayopiga kazi bila magumash?
Nimekupata bosiIlifungwa kusurf bure pamoja na free FB kipindi kile cha HA Tunnel sabu zilikua zimehostiwa Cloudflare na Cloudfront ambako ndiko hosts za free internet umlizokua unatumia kwenye HA Tunnel zilikua zinapatikana hukohuko so ISPs wakaona yanini kuendelea kutoa huduma ya freebasics na free facebook wakati mna uwezo wa kununua MB [emoji23][emoji23][emoji23]...
Hakuna cha bure kizuriVpn ipi inayopiga kazi bila magumash?
Kutafuta ndo kupata?Duh tutafute pesa aisee
UtakosaKutafuta ndo kupata?