wadau najaribu kuinstall antvirus ya AVG ambayo ni free lakini naletewa SETUP ERROR naandikiwa * this platform is not supported by this installation package.please ensure that you have downloading the correct package. Pia kuna application nikitaka kuziunstall naambiwa zimecorrupt na hazitoki MWenye solution anisaidie.natanguliza shukrani