aminangalo
JF-Expert Member
- Aug 31, 2013
- 974
- 190
Juzi uchaguzi wa chipukizi Arusha mkoa katibu hamasa wa Arusha mkoa Fredy Lowssa alishindwa kuaampaka mwisho baada kutuhumiwa kutoa shilingi milioni mbili ili mgombea wa Monduli ashinde.
Kitendo hicho kimeleta mgawanyo mkubwa kwenye umoja wa vijana na kuiyumbisha kambi ya Lowasa.
Kitendo hicho kimeleta mgawanyo mkubwa kwenye umoja wa vijana na kuiyumbisha kambi ya Lowasa.