Uko sawa kabisa wanasema hawasikilizi clouds redio ya kipuuzi lakini thread zinazohusu vituo vya redio humu almost zote zinahusu clouds...
Wabongo noma mtu anaweza hata akakana wazazi wake...
Usituangaishe mpigie namba yake....Who is Freduwaa? What so special with him?
Ungeshangaa mbona sembe limepotea mtaani tungekuelewa siyo Fredwaa! Muda mwingine tufikirishe vichwa vyetu Kwa mambo ya maana unatuletea habari za Fredwaaa wabongo bwana Kama tumelaaniwa hivi.