Fredrick Sumaye "nyota wa mchezo"

Fredrick Sumaye "nyota wa mchezo"

pilau

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2012
Posts
1,595
Reaction score
450
Laiti Kama ingekuwa ni mechi ya mpira wa miguu katika ufunguzi wa kampeni za UKAWA basi Mh. Sumaye angekuwa ndie mchezaji bora na nathubutu kusema kwamba kati ya magoli waliyoyapiga UKAWA katika ufunguzi huo Sumaye alifunga magoli manne mazuri na alitoa msaada "assist" ya magoli mengine hivyo Sumaye aliondoka na Hat Trick na kustahili kuondoka na mpira .........
 
Kuteleza sio kuanguka, mzee sumaye amejua jinsi ccm inavyo wanyanyasa watanzania na sasa ameamua kujiunga na kikosi cha ukombozii
 
Ndiyo maana bwana mkubwa alipanic siku ya mkutano wao baada ya kupata taarifa sumaye kaondoka. Alijua mambo yanaenda kuwekwa hadharani
 
Sumaye Anapiga Za Uso Tu.. Hana Mambo ya KuchengaChenga.

........Hakyanani anamwambia Comrade Kinana kwamba kama uadilifu na na usafi wa maadili kipimo ni yeye Kinana basi yeye Sumaye atakuwa mtakatifu ...... anauliza kwani huyo Magufuli ni mzima? kisha anaendelea yale mabehewa mabovu yaliyoingizwa nchini vipi ? wale twiga waliopandishwa kwenye ndege Lowassa nanahusikaje? yale madawa ya kulevya yanaopita uwanja wa ndege kwa magunia ? Kuhusu tezi dume..... upasuaji wa Mh. Mkapa akiwa madarakani .... loh

 
Hakika alistahili, huyu mzee ni noumaaah!
 
Hahaha the guy kweli inaonesha kachoshwa na uongozi wa mkwere.. Alivyo wachana hadi raha
 
Alitegemea katiba mpya angeitwa pia ni kutokua na cheo ndan ya chama jitu lafi kaa buzi shame mnaomshangilia huyu boya
 
Anaitwa RPG-7 ccm haiwezi kusimama tena aliwasambaratisha kama kawaida ya RPG-7!
 
Back
Top Bottom