frederik tluway Sumaye ndio waziri mkuu aliyehudumu kipindi kirefu kuliko mawaziri wakuu wote wa jamhuri ya muungano wa tanzania

Superbug

JF-Expert Member
Jan 31, 2018
12,417
30,927
Namkubali Sana huyu mzee kwa Kuwait mkweli na mwenye msimamo usio yumba na sio mnafiki
Tunakumbushana tu kuwa ndio waziri mkuu aliyehudumu kipindi kirefu kuliko wote katika historia ya taifa letu Hii ni rekodi nzuri Sana na ndio maana wapinzani wake kisiasa wanamtania kwa kumuita Mr zero ila kimsingi huwezi kuwa zero halafu ukaongoza serikali kwa mwaka kumi mfululizo huyo ndio Mr FREDERICK TLUWAY SUMAYE KAMANDA MPIGANAJI MWANAMABADILIKO SALUTE KWAKO MZEE SUMAYE!!
 
Kampeni zimeshaanza mazee mengi tutayasikia.ILA kumbukeni mambo ya kiCCM huko hayapo mtaswagwa
 
Back
Top Bottom