Fred Lowassa: Paul Makonda nimetoka naye mbali sana, nasikitika anavyotumia nafasi yake vibaya kwa manufaa anayoyajua

Shida iko wapi? Dada ameomba kwenda kupimwa DNA. Huyo Fredi angeacha kulalamika na ingependeza kama kesho tunekutana naye kwa mkemia mkuu akapimwe DNA ili waunganishwe na ndugu yao.
Haya mambo siku hizi yanakwenda kisayansi.
Weee kaaa kimya hiyo hiyo ngoma si yako niyamzee wako kama alivaa atajua namna yakuvua kama amevalishwa ataelewa jinsi yakutembea nalo wewe nawe ni mtoto tu katika familia
 
Makonda na baba yake ni viazi vilivyooza .........nini majukumu ya ustawi wa jamii ?.........na je huyu binti kawa mkubwa hivyo inamaana alikuwa hajui Lowasa anapopatikana ?...........Kwanini alishindwa kumshitaki tangia mwanzo na iwe sasa ? ..............na ni kwa nini viongozi wa upinzani na critics wa serikali hii ovu ndo wanaangushiwa hizi kashfa ?..............watanzania wengi ni wapumbavu sana na hatutaki kujiuliza maswali fikirishi kazi kushabikia fitna na mambo yasiyo na maana...........Hawa makahaba wanatumiwa kuchafua watu basi.................kwa hizi akili chafu tutasubiri sana kimaendeleo nakwambia na bado....................Mkuu wa mkoa unashindwa kudeal na vitu vya maana , mkoa maeneo mengi machafu na ya kunuka , umasikini wa kutupwa , mpangilio mbovu wa mji , miundo mbinu mibovu n.k ...............Haya Ndo madhara ya elimu fake kama ya Bashite kichwa maji a.k.a Kilaza
 
Tunarudi palepale, mtu yeyote anaweza kumtumia kufanya kazi anayotaka na akaifanya kwa uzuri kabisa. Jana msibani amempa dongo kiongozi mkubwa sana, sijui kama alitumwa pia au ni utashi wake lakini alisema vizuri sana.
 
20240221_212714.jpg
 
Back
Top Bottom