La Cosa Mia
JF-Expert Member
- Feb 11, 2012
- 271
- 127
Acha ubwege na jealous wewe, bondia hachagui anachaguliwa na promoters. Wewe andaa pambano uone kama hupigwi wewe na huyo bondia wako. Hawa wachonga mdomo wenyewe wametaka kupigwa. Na kama mabondia wa nje angalia vizuri hiyo list yako, labda tu kwa kuwa ukoo wa Matumla ulipigwapigwa na huyu jamaa ndio inakuuma
Kelele nyiiiiiingi kabla ya pambano, huyo karama alisema huyo bwana huwa anapendelewa na majaji, sasa hiyo TKO nayo amependelewa na majaji?
Kutokupendwa kwa cheka na wachingiaji wengi humu ndio mafanikio ya Cheka kwani inampa motisha wa kuwaumiza wasiompenda Matumla nimeona record yake alimpiga Cheka kipindi Cheka akiwa Kinda la miaka 20 ni haki yake ilikuwa kumpiga na sasa ni haki ya Cheka kumpiga Matumla kila atakapoomba Game hata miaka mia Matumla hatomuweza...
Cheka wewe Piga tu hao najua wanakuombea mabaya ila Mungu atazidi kuwa na wewe hata nje jaribu japo wanakufanyia roho Stoki... Hadi wanafanya udhamini uwe down kwa kuwa wanajua utashinda na zawadi zitawauma...
Changanya na za kwako Tyson alipokuwa huo umri alikuwa na uzito gani? maana yeye alikuwa anapigana Heavyweight....Watanzania ndio tulivyo.....ukiambiwa ukweli unasema "HATERS" haya ndio yanayomkuta Hashim thabit...hampendi kuambiwa ukweli...haya mkubwa..miaka 20 katika ndondi unaita kinda...tatizo hapa wengi hamfahamu huu mchezo...tyson alikuwa bondia wa dunia akiwa na miaka 18.....changanya na za kwako...
Changanya na za kwako Tyson alipokuwa huo umri alikuwa na uzito gani? maana yeye alikuwa anapigana Heavyweight....
Miili ya Kwetu usilinganishe na ya USA Wale kila pambano bondia anaingia kitu kama Bajeti ya wizara flani
mkubwa sasa mbona unachekesha....cheka alipigwa na matumla enzi hizo matumla wa ukweli kabla hajazeeka na kuchoka....cheki rekodi ya cheka utaona pambano lake la kwanza kupigwa....matumla sasa hivi kachoka vibaya sana hata wewe unaweza kumpiga....ni kama tyson alivyochoka sasa ......mimi nataka cheka akapigane nje sio kuchagua wauza karanga kujiongezea pointi.......nitamkubali akishinda angalau mapambano matatu tu ya nje na sijui itakuwa lini maana jamaa na yeye umri ushamtupa mkono....