S Sesten Zakazaka JF-Expert Member Joined Sep 10, 2017 Posts 10,701 Reaction score 19,504 May 8, 2018 #21 Na ukute kuna mijitu kibao ilikua inajidai kumuunga mkono kwa nguvu zote ikisema kua yeye alikua ni chaguo la Mungu kuja kuingoza na kuikoa Equatorial Guinea, mioyoni mwao wanjua kabisa wanpopelekwa sipo lakini waafrika kwa unafiki tupo ngazi ya PhD
Na ukute kuna mijitu kibao ilikua inajidai kumuunga mkono kwa nguvu zote ikisema kua yeye alikua ni chaguo la Mungu kuja kuingoza na kuikoa Equatorial Guinea, mioyoni mwao wanjua kabisa wanpopelekwa sipo lakini waafrika kwa unafiki tupo ngazi ya PhD