habari ndugu zangu wa jf, naomba kujua kama kuna mtu yeyote ambaye anaframe anakodisha kwa ajili ya biashara mjini Arusha,kwanzia maeneo ya mjini kati mpaka maeneo ya kaloleni,soweto au makao mapya. Au kama unamjua mtu anaframe ziko/iko wazi nitashkuru sana akinifahamisha!namba zangu ni +255714478797
asanteni