Habari wadau,ninauhitaji wa frame ya kufungua duka maeneo ya dodoma mjini au sehemu yeyote mkoa wa dar kwenye mzunguko wa watu.Anaeweza kunisaidia naomba anitafute kwa namba 0789389152
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.