mwenge sehemu gani mkuu? naomba uwe specific kwani Mwenge ni kubwa na kasi ya biashara ni tofauti tofauti kutoka mtaa hadi mtaa na nyumba hadi nyumba. Ni huu uchochoro karibu na magengeni ambazo watu wamezikimbia?Mwenge kuna frame kubwa nzuri kwajili ya biashara kama maduka hotel nk, Tsh 1,000,000 kwa mwezi, Kodi ni miezi 6 tu. Kwa mawasiliano: 0714-074040,0767-074040-0783-074040. Changamkieni deal idadi ya Frame zilizobaki ni chache.