Hela uliyonayo huwezi pata frame town... hata maeneo ya nje kidogo ya mji..maeneo kama Sanawari....Philips..Sakina....Njiro....Kijenge...Mianzini..Esso..Kimandolu....Sahau kupata frem kwa pesa hiyo....we nenda tu Ngaramtoni!!
zipo mkuu,wanakukatisha tamaa nenda hapo florida,kwenye jengo jipya la NHC,maarufu kama modern driving,bei za frame hapo ni nafuu.muulize m2 yeyote mwenye duka hapo atakuelekeza mpango mzima.