TANMO upo? fuata taratibu, kipindi ile ulichemka! hizi short cut zitakukosesha dadetu! mjomba TUPA TUPA anajua?
dada yupo kwenye Unyago na akitoka ataenda kuendelea na Mangau kau kwa wk kama tatu hivi, utamwona baada ya mwezi 1Kimsingi nilikuwa naye ila tangu tuagane Juzi simpati hewani..
Halafu Mjomba Tupa yupo, nilikuwa naye siku chache zilizopita. analalamika mmemtupa sana.
Hivi umenionea FP popote Shem?
Kimsingi nilikuwa naye ila tangu tuagane Juzi simpati hewani..
Halafu Mjomba Tupa yupo, nilikuwa naye siku chache zilizopita. analalamika mmemtupa sana.
Hivi umenionea FP popote Shem?
dada yupo kwenye Unyago na akitoka ataenda kuendelea na Mangau kau kwa wk kama tatu hivi, utamwona baada ya mwezi 1
wee weee....ishia hapo hapo........
kumbe na wewe umelijua hilo? lol!Mshawasha at works !
Hence pedestrians stay far around the road !
Beware ! Usiku huu madereva hawaoni mbali .
@fp, kwa upendo mkuu, yaani huyu TANMO anavuta mibhange. Naomba uwe muangalifu. Nasikitika mie natumia medicinal marijuana na ni halali huku kwetu. Aliona akaniibia enzi hizo anasoma anakaa kwangu. He is an addict. Staki kesi na huyu mdogo wangu, nimekustua tu
ha haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa, kwa raha zako mwenyewe, lol!Cha msingi ni amerudi,,, ametoka wapi? Hilo tumuachie mwenyewe.. Sitaki Presha saa'hii.
Asante sana King'asti kwa hii taarifa, ila usijali mpenzi nimeshadondokea kwingine......mupenzi wa moyo wangu, lol!@fp, kwa upendo mkuu, yaani huyu TANMO anavuta mibhange. Naomba uwe muangalifu. Nasikitika mie natumia medicinal marijuana na ni halali huku kwetu. Aliona akaniibia enzi hizo anasoma anakaa kwangu. He is an addict. Staki kesi na huyu mdogo wangu, nimekustua tu
Yes sirAmerudiiiii kutoka kwenye mwezi wa asali