[QUOTE="Bacary Supulichopatat: 18429469, member: 233420"nacte pole fourth round washatoa majina na wanaanza kusoma[/QUOTE]
Chuo,program gani,na umechaguliwa na chuo au nacte??? round ip mdauuuu
Jaribuni kuingia TCU cas alaf mchek hapo chini walipoandika view provisional results majina yapo kwa wote walio apply chuo mwaka huu, kama kuna aliyepangiwa udom anichek