fourth round application

officialstawa

Member
Joined
Sep 30, 2016
Posts
95
Reaction score
18
jamani kama kuna mtu aliaply fourth round application kupitia tcu aniambie kama kapata chuo mana cielewi elewi
 
Selection zishatoka fuatilia kwenye vyuo ulivyoomba.
 
Yah nnae dogo mmoja ni leo asubuhi amenipa taarifa na mie nimeithibitisha profile yake tayari amepangiwa chuo
 
mimi naona nacte ndo mtandao wamefunga na nazisubiri hiyo round ya nne sasa sijui itakuwaje na watu wanaendelea kusoma kwenye vyuo nilivyoomba
 
huyo aliopata aliomba kupitia nacte au TCU na vipi diploma kwenda degree au aliomba kwenda level ipi?
 
taja vyuo ulivochagua na index namba zako na jina lako tukuchekie uende shule nyumbani si sehemu salama kwa muda huu wahi skuli
 
kuna rafiki angu kaomba KIU through tcu na kashaanza masomo 4rth round
Yani mm nikiingia had leo wanadai et system closed et bado wanafanya usaili wa wanafunzi but mm nimetokea diploma na niliomba SUA
 
Hata mimi ni mhanga wanga wa nacte kwan profle yangu na system ya Tcu vs Nacte is closed for sellection process. Na fourth round nimeona vyuo viwili tu udom na mzumbe na idadi ni ndogo vilevile kwa mzumbe ni ngazi ya diploma na cheti zaidi [HASHTAG]#tusidanganyane[/HASHTAG] bana​
 
Mara hii kwakweli wanafunzi tupo dilema hawo wanaosoma na sisi tunaosubiri matokeo ni mitihani mitupu., hakuna information wala chochote nadhan huu ni mpango maalum kuwatia adabu watanzania
 

me nimesemea degree tru TCU sio nacte
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…