Four years experience: I dated Miss Tanzania Top Model

Haiwezi kunikwama I AM A PROFESSIONAL! LABDA KAMA WEWE IMEKUNASA MAHALA UNASHINDWA KUKAA CHINI UNANENGENEKA TU SEMA NIKUSAIDIE! Binadamu sie kusaidiana yakheeeeeeeeeeeeeeeee!:lol:


Usijichanganye, mimi sijakohoa kama ukohoavyo wewe....nilikuonea huruma ili nikutibu.
 
Mkuu huyo unayemsema alikuwa miss tourism nadhani ilikuwa kati ya mwaka 2009 au 2010 na sidhani kama alishawahi kushiriki miss Tanzania,wakati mlete uzi anadai huyo gal wake alikuwa Miss Tanzania top model wakati J Elitwaza hakuwai kuwa miss Tanzania top model,endelea kuscan files zako kiongozi utamjua tu muhusika....but asante mkuu kwa taarifa kuwa yule tour guide yuko hot.
 
Lugha za watu hizi .....zilikuja na meli......halahala kidole kwa macho!:brushteeth:
 
Hahahahaa jamaa ameanza kukimbia kivuli chake mwenyewe
 
huyu hajapewa libwata, ila kajilisha limbwata mwenyewe, asikuambie mtu, huyu hata mumuambiaje hawezi kujielewa, labda atumiwe video kabisa ndo ataamini.
 

 

Attachments

  • Blog Judy.JPG
    175.4 KB · Views: 441
like if you just came here to read the haters comments...............
 
Mi sijaelewa jamani what was the point ya hii stori? Kwamba yeye na judi wapo pamoja despite everything that happened au? Kidhungu hiki jamani kaazi... hebu nitafsirieni mie mnipe na conclusion lol
 
hellw there am jessy am an upcoming model from arusha and i would like to be a model......anyone with information from arusha plz let me knw
 
That's fix...tatizo watu mnachukulia everything serious bila kujua mmefungwa kamba tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…