Cylinder zinawakilisha Horsepower (HP) ni kipimo cha nguvu zinazotumiwa au zinazozalishwa katika engine ya gari ambazo zinaanzia 4 mpka 12 au vinajulikana kama V4 ,V6,V8na V12 wakati cc, inasimamia kwa sentimita za ujazo kipimo ni 1/1000 ya lita moja ya mafuta. rating ya mafuta katika injini horsepower kwa kawaida inatolewa na mtengenezaji kwa kasi maalum ya injini.