Forum yenu changamfu sana

Napenda kujitambulisha rasmi na nategemea tutakuwa na mijadala ya maana zaidi ambayo italenga kujenga na sio kubomoa na wala haitokuwa na kudhihakiana wala kutukakana wala personal attacks

Kama kutakuwa na mtu ana data za kuback up arguments zake tafadhali naomba aje tuzichambue pia kwani bila supporting data itakuwa ngumu mtu kuzungumza

Natumai tutafika pazuri na naamini mnaojiita GREAT THINKERS hamtosema neno mpaka muwe muna uhakina na mnachokisema

asante sana


WE BUILD YOUR FUTURE!

Mafisadi wamesha ingia JF tayari,mbona wa-nccmfu oh nssf wamekuwa wengi humu,tena kwa jina nssf +derivative flani?

Any way,.........JF ni kipimo cha uvumilivu jombaa ukileta crap unaludishiwa wala usitishe watu
 
Back
Top Bottom