Hii ni ya wote...Adi wa mwaka 1 wapo
Hahahaha mumewe cha mdekousipo kuwa makini wakati wa kusoma jina lako unaeza dhani ni yule jamaa mtaalamu wa matunguli humu
Nilivyokuelewa, nadhani unataka JLW... KAMA NI HILO, OMBA MODS wakupe accessWadau njia zipi nione forum ya 18+ age mana nimechoka nyuzi zangu kufutwa