Kozi za wananchi ndizo hazifanyiwi kazi. Wananchi wanalipa kozi na serikali ni jukumu lake kutekeleza yote hayo, na yule anayechafua mazingira sharti achukuliwe hatua kali sanaView attachment 3531680
Miafrica ndio tulivyo.. Mnategemea utalii halafu mnashindwa ku enforce usafi wa eneo mashuhuri.. Weka faini kubwa,Enforce usafi,Adhibu watu,tia bakora wanaokojoa baharini..
Kodi za wananchi ndizo hazifanyiwi kazi. Wananchi wanalipa Kodi na serikali ni jukumu lake kutekeleza yote hayo, na yule anayechafua mazingira sharti achukuliwe hatua kali sana
Sisi watu wa pwani huwa tunaelewa.Bahari haikai na uchafu itautapika tuu