englibertm
JF-Expert Member
- May 1, 2009
- 9,252
- 6,207
Kwa anaelewa anafahamu maana yake ila kwa asielewa anona ni madudu tu
Mbona hakuna sehemu ya kumshirikisha Mungu katika formula yako hiyo
Ku DO? ndi kufanikiwa? mweh mweh mweh...........
What if hauna imani ya uwepo wa Mungu?