Dah!... Nimeikosa hii qualification..
British Grand Prix, Silverstone England- Qualifying race.
Cc; RRONDO, Kibunango, Bulldog, BAK Pazi, BelindaJacob
Mercedes hawakuset lap time kwenye P3 na gari ya Hamilton ilikua na matatizo jana kwenye P2. Nategemea upinzani kutoka kwa Redbull this weekend na jana nilifurahi kuona dereva mwanamama Suzzie Woff (mke wa boss wa Mercedes) ndani ya F1 car (Williams) ingawa alilast kwa lap 4 tu kutokana na matatizo ya gari.
#TeamHamilton
Naona Hamilton katolewa kamasi tena na Rosberg...
#TeamHamilton, naangalia Breakfast at Wimbledon ndiyo inakaribia kuanza in few minutes, my favorites players The William sisters both were eliminated early 🙁.
Kuna uwezekano wowote wa kuwepo mvua?Hamilton ajirekebishe sasa tushamtetea sana anazidi kumsafishia Rosberg njia. Tennis Women sijali nani atashinda muhimu Sharapova alitolewa roho mbaya sana demu Yule, Tennis Napenda kumuona Swiss anachukua wanaume Federrer Sema Kesho F1 mwanzo Kama Hamilton akisogea mpaka 3 na mvua ikawepo race itakuwa nzuri sana hawapo mbali na ninapoishi hapa nilipo kuna College inafundisha watu kufanya kazi huo uwanja wa Race ya F1 UK.
Hamilton ajirekebishe sasa tushamtetea sana anazidi kumsafishia Rosberg njia. Tennis Women sijali nani atashinda muhimu Sharapova alitolewa roho mbaya sana demu Yule, Tennis Napenda kumuona Swiss anachukua wanaume Federrer Sema Kesho F1 mwanzo Kama Hamilton akisogea mpaka 3 na mvua ikawepo race itakuwa nzuri sana hawapo mbali na ninapoishi hapa nilipo kuna College inafundisha watu kufanya kazi huo uwanja wa Race ya F1 UK.
Yah sababu mvua siku mbili hizi inamwagika na kukatika hata Leo nyepesi lakini.Kuna uwezekano wowote wa kuwepo mvua?
Kasheshe mapema....