BelindaJacob
Platinum Member
- Nov 24, 2008
- 6,474
- 4,022
hawa F1A hawana msimamo....wana sheria inasema team order haziruhusiwi kuamua race,waache driver wa-compete,wanatunyima raha mashabiki......ingekuwa MCLAREN wangewashughulikia lkn FERRARI hawawezi kuwagusa,i hope they prove me wrong...........
Bora wamelimwa fine!..huwa kina Hamilton wakikosea tu FIA haina mjadala wa adhabu!..Massa deserved to win hiyo German GP!..