Itategemea sana sababu wachambuzi wanasema RED BULL RENAULT wana matatizo ya RELIABILITY issue kwenye magari yao. na kwenye Track ambao ina HIGH SPEED corners na LONG STRAIGHT nadhani Marcedes( Maclaren au Brawn) wataibuka kidedea. Lets wait and see.
I put my bet on Marcedes kuchukua nafasi mbili kati ya tatu za juu. . Kati ya hamiliton ,Button , Mtengeneza Kiatu( Shchumaker) na Roseberg.
Hii ni race ya ya Marcedes kama Sio Maclaren Marcedes basi Brawn marcedes.
Napenda sana Kijana hamilton achukue ushindi wake wa kwanza analeta msisimko sana kwenye huu mchezo. na kwa tracak ya leo huyo webba asishangae anakuwa overtaken.
Magari matano ya kwanza yalivyjipanga kutakuwa kuna show nzuri na ushindani mkubwa sana leo. tuombe kusitokee safety car kuharibu uhondo.

LEWIS HAMILTON WINS CANADIAN GP,BUTTON 2nd,ALONSO 3rd...........
MCLAREN stil dominates 1 and 2, ahead of Red Bull... Ths is gona a fabolous season for Formula 1 lovers..
I cant wait for the next race...Europe (Valencia)...in two weeks time
am fired up guys.. utadhani mie ndo naendesha haya magari...:roll: