Unashangaa 'upara' kwenye makalio ya nyani!!! Its a reflaction of how our govt leaders who we intrust with our minds and souls ends up working against us and instead serving his personal and other interests..Wakuu,
I have totally failed to understand how can a public servant of his level end up being a Board Chairman of a private company. Is it that he was favouring them (Barick Gold) that is why they decided to thank him with Board Chairmanship?
no no nooooooo mate................Mimi sioni ubaya wowote katika hili. Haya mambo ni heri tukayaona kwa mapana na marefu yake. Kuna uhusiano mkubwa kabisa kati ya biashara (hasa ya kibepari) na siasa. Wawekezaji wanapenda sana kuwa karibu na wanasiasa ili sera na malengo yao yasipunguze faida wanayoipata. Inawezekana ikawa ni vibaya au inaumiza wananchi wa kawaida lakini huo ndio ukweli. Zamani walikuwa wanamteua mtu ambaye ni well connected na wanasiasa na kumlipa mshahara ili pale wanapohitaji jambo kutoka serikalini au kubadilisha jambo basi inakuwa rahisi. Kwa kuwa sasa ni biashara huria na mtu yeyote anaweza kuteuliwa kuwa kiongozi ndani ya kampuni hiyo basi wanafanya hivyo. (Kumbuka Mwenyekiti wa Bodi ya Tanzania Breweries ni Cleopa Msuya. Hayo hayo). Lakini ukweli unabaki kuwa hao wanaoteuliwa kuwa wenyevyiti hawana mamlaka yoyoye ya maana zaidi ya kusikiliza na kutekeleza maagizo kutoka kampuni mama za hao makampuni tanzu waliyo wenyeviti.
this is a total garbage..tunazungumzia rasilimali za taifa wewe unazungumzia pombe..haya mambo ya kutuletea ugali wa muhogo na bamia wakati watu tunakula pilau na nyama ya kuku....kutengeneza pombe hakuchanganywi na dhahabu wala almasi,na kunywa pombe ni utashi wa mtu..dah,..we vipi?tunaachiwa mashimo brother/sisterKwa Tbl sawa ila Barrick sio sawa.Former Prime Minister Msuya ndo anaongoza Tbl kule mnajua mmenyamza kimya mnakuja kunyanyua midomo kwa huyu.Au Hilo kwako ni geni
Nyerere alijaribu kumgusa mtu anaitwa Tiny Rowlands alikuwa mmiliki wa shirika likiitwa LONRHO. Ulimshinda huo mfupa.
Usicheze na haya mashirika makubwa yanayochangia kwa kiasi kikubwa bajeti za nchi zao, utaumia, ukipenda usipende.
Uliona Symbion ilvyochukuwa mitambo ya Dowans alikuja nani kuitembelea hiyo mitambo? jiulize, ilihusu nini? halafu jiulize tena Mzee Mwanakijiji alikuwa mstari wa mbele kuiponda Dowans, ulimsikia akinyanyua sauti kwa Symbion? na mitambo ndio hiyo hiyo, jiulize kwanini? Hata upinzani hawakuitaja tena.
Cheza na mwenye mali usicheze na mali zake.
hii inaitwa 'kuhalalisha rushwa waziwazi'
Acha uwongo.
Nyerere alikamata mashamba yote ya Tiny Rowlands baada ya mzungu huyo kuingilia sera za ukombozi wa Zimbabwe. Akaenda kulalamika London na Lusaka lakini hakufua dafu. Nyerere alikuwa chiboko! Sio hawa wenye tabasamu na kuuza nchi to the lowest bidder! Symbion na Dowans lao ni moja. Ni ufisadi wa Kikwete.
Wakuu,
I have totally failed to understand how can a public servant of his level end up being a Board Chairman of a private company. Is it that he was favouring them (Barick Gold) that is why they decided to thank him with Board Chairmanship?
Tanzania kila kitu kinawezakana. Kuna wakati, spika wa bunge aliwahi kuwa board chairman wa kampuni fulani...itakuwa huyo mstaafu? Watu walivyojaribu kuuliza kulikoni wakaambiwa ati wana "wivu wa kike"!
Mimi sioni ubaya wowote katika hili. Haya mambo ni heri tukayaona kwa mapana na marefu yake. Kuna uhusiano mkubwa kabisa kati ya biashara (hasa ya kibepari) na siasa. Wawekezaji wanapenda sana kuwa karibu na wanasiasa ili sera na malengo yao yasipunguze faida wanayoipata. Inawezekana ikawa ni vibaya au inaumiza wananchi wa kawaida lakini huo ndio ukweli. Zamani walikuwa wanamteua mtu ambaye ni well connected na wanasiasa na kumlipa mshahara ili pale wanapohitaji jambo kutoka serikalini au kubadilisha jambo basi inakuwa rahisi. Kwa kuwa sasa ni biashara huria na mtu yeyote anaweza kuteuliwa kuwa kiongozi ndani ya kampuni hiyo basi wanafanya hivyo. (Kumbuka Mwenyekiti wa Bodi ya Tanzania Breweries ni Cleopa Msuya. Hayo hayo). Lakini ukweli unabaki kuwa hao wanaoteuliwa kuwa wenyevyiti hawana mamlaka yoyoye ya maana zaidi ya kusikiliza na kutekeleza maagizo kutoka kampuni mama za hao makampuni tanzu waliyo wenyeviti.
Kwa jinsi nchi ilivyo hii si bure. Iko namna hapa! Jidaini kumtetea lakini mimi NO.
Kwa wenzetu haipo hiyo sema kwa afrika hasa tanzaniaDunia ya Biashara "It's Not What You Know, It's Who You Know".
Kwa wenzetu haipo hiyo sema kwa afrika hasa tanzania
Lakini ukweli upo palepale katika hili na kwa nafasi aliyokuwa nayo something is wrong si lazima upende na ukumbuke hii sekta ya madini ni moja ya eneo linaloonekana bado lina mazingaombwe mengi sana,anyway lets move onHiyo ni dunia nzima ya biashara, google "It's Not What You Know, It's Who You Know" uelimike.