Former SEALs and CIA operatives to launch campaign blasting Obama over leaks and bragging over bin L

Duuh!all this over what?Romney?mhn mhn mhn!neways,uchaguzi huu utakuwa na jabs za kutosha,below the belts and all that...however sioni kama kuna ulazima wa kuinsult each others just over Romney or even Obama.Civility is a virtue in these kind of debates.Pia kumdefend mgombea kama ni yourself itaharibu mjadala,ni bora tuwachukulie tu kama a third party ambao hatuna uhusiano nao kiasi cha kuchukulia personal wanapokuwa criticised in a manner and or ways that you don't aggree with.
 
Kama wanamchukia Obama kwa wanaendelea ku-carry successful missions directed by Obama?. Hao wanaompinga Obama ni wapuuzi wachache walioingia jeshini kwa sababu binafsi si za uzalendo. Na hao ex-officers wanachofanya ni kujidhalilisha, wangekuwa na effect kama Obama angekuwa si rais, lakini Obama aliyoyafanya kila mwananchi anajua. Walifanikiwa kwa Kerry, this time watumie mihela inayomwagwa na kina Sheldon Adelson ila this time is not GOP's turn, they have to wait 2016 to face Hillary

Kila mwanajeshi huwa anakula kiapo kutetea katiba. Kama katiba inamruhusu Obama kuwatuma wanajeshi, basi lazima mwanajeshi atii hiyo amri. Wewe hapo ulipo kama unawajua wanajeshi na wao wanakujua, waulize wanamuonaje Obama halafu uwasikilize wanaongeaje.
 
Siasa za marekani ni tofauti sana mkuu.Bottomline,watu wanapiga kura for what's at stake si kama hao wakwetu kwenye watu wenye kupigakura wakishapewa pilau,kanga na pombe.

Issue zitakazo determine ni kadhaa,this time around its the "economy stupid",pamoja na the fact kwamba "obamacare" ipo hatarini kwa wale wenye kuisapoti(wengi ni low income people. Na minorities ambao hata hivyo wameshaanza kuundiwa mizengwe through voter id).

Jambo jingine ni taxes za Bush ambazo ziko set ku expire january 2013 kama sikosei.Wananchi wamegawanyika kuhusiana na hilo,kuna wenye kusapoti hoja ya Obama kuwa tax cuts kwasasa ni muhimu kwa middle class pamoja na small businesses zenye mapato ya mwaka yasiyozidi $250,000 kama sikosei.Na mpango wa Obama pia umezingatia kupambana na defict kwa upande mmoja na kwa upande mwingine,kuhakikisha kwamba middle class can spend and thats how the economy can move forward.Kwa kuwapatia wananchi wenye kuhitaji pesa za kutumia kustimulate uchumi,na si za kupeleka kwenye akaunti za nje kukwepa kodi nk.

Kwa kifupi sana tu,kuna hoja ambazo ikifika wakati wa kupiga kura,wananchi watalazimika kwenda kumchaguwa wanayeona anafaa kwasababu tofauti ya Romney na Obama policywise ni kubwa mno!

Sasa kama Wamarekani wanampigia kura OBama ili wapewe matibabu ya bure (free healthcare), vyakula vya bure (food stamps, welfare) wana tofauti gani na watanzania wanaopiga kura wakipewa pilau? Au kwa sababu kanga ni bei rahisi ndiyo maana unaona ni tofauti? Ukifikiria sana utajua kuwa principle ni ile ile.
 
Sasa kama Wamarekani wanampigia kura OBama ili wapewe matibabu ya bure (free healthcare), vyakula vya bure (food stamps, welfare) wana tofauti gani na watanzania wanaopiga kura wakipewa pilau? Au kwa sababu kanga ni bei rahisi ndiyo maana unaona ni tofauti? Ukifikiria sana utajua kuwa principle ni ile ile.

Mkuu hivi unaushirikisha ubongo vyema?pilao na kanga siku ya kampeni unafananisha na welfare system?
 
Mimi nilishasema zamani tena humu humu kwamba Romney hataki kushinda uchaguzi. Yeye alichaguliwa kwenye zile primaries ili ashindwe na Obama November. Yaani huu uchaguzi umeshatengenezwa zamaaani.
 
Mkuu hivi unaushirikisha ubongo vyema?pilao na kanga siku ya kampeni unafananisha na welfare system?

Vyote viwili vinaumiza nchi. Welfare system inafilisi nchi na uchumi. Kanga zinarudishi mafisadi madarakani ambao wanafilisi uchumi na nchi. Upo hapo?
 
Vyote viwili vinaumiza nchi. Welfare system inafilisi nchi na uchumi. Kanga zinarudishi mafisadi madarakani ambao wanafilisi uchumi na nchi. Upo hapo?

Mkuu,pitia makabrasha kwanza kabla hujataftia watu ban.
 
Dah...kweli Marekani ni baba ya dunia!

Uchaguzi ufanyike kwao huko sisi wamatumbi huku tunatoana macho!!
 
Back
Top Bottom